Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz wiki hii amejikuta mashakani kwa kukutana na ukosoaji mkubwa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kuonekana kwa bendera inayoonekana inaunga mkono vitendo ...
Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz ameomba radhi baada ya kupata mtoto nje ya ndoa na mwana mitindo wa taifa hilo Hamisa Mobetto ambaye alishiriki katika kanda yake ya muziki. Katika mahojiano na ...