Nyimbo mbili za Diamond Platnamz ni miongoni mwa nyimbo zaidi ya 10 zilizopigwa marufuku kupigwa katika radio nchini Tanzania. Nyimbo kadha za wanamuziki Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki, Jux na Barnaba ...
Video za muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania ndizo zilizotazamwa zaidi na Wakenya katika mtandao wa YouTube, unaomilikiwa na Google, mwaka huu, takwimu zinaonyesha. Video hizo zinatawala katika ...
Katika makala haya, mkongwe wa sanaa ya muziki nchini Tanzania Mzee Kitime anaweka wazi kwanini nyimbo za masuala ya kijamii hazisikiki ingawa si kweli kwamba hazipo. Fuatana na Edmond Lwangi Tcheli ...
Mbali ya kujishughulisha na uimbaji wa nyimbo za Injili ni mjasiriamali mwenye ndoto lukuki za kutimiza katika maisha yake.Leo ametembelea nyumba ya sanaa ya RFIKISWAHILI.Ambatana nasi ...