Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema hakuna sababu zinazofanya uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika kesho nchini kuahirishwa, kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa ...